Monday, May 13, 2013

HEMED PHD ANUSURIKA KUTANDIKWA MAKOFI JUKWAANI NA MREMBO ALIYEMTOMASA NA KUMPULIZIA PERFUME KINYEMELA



Ni usiku wa kuamikia jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume kwa mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage.....

Hemed alikosea kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe unyunyu...Alimfuata na "tomasa toma style" alafu akamtandika unyunyu na hiyo ikawa ndiyo mistake kwa mkali huyo wa music na bongo movie... kumbe bi dada alimaindi...!!!

Alisubiri mpaka hemed alipomaliza kufanya yake on stage , then akamfuata backstage na kutaka kumnasa makofi huku akitema cheche.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...