Saturday, May 4, 2013

"HAKUNA ZAWADI KUBWA NILIYOPEWA NA MUNGU ZAIDI YAKO DIAMOND...NAKUPENDA SANA"......PENNY



Pengine utundu wa Diamond ndo kitu pekee kinachowafanya akina dada wamgombanie..Leo ni birthday ya Penniel Mungilwa na mpenzi wake Diamond Platnumz, amemwandikia maneno matamu.


Sometimes I wish you could know how much you mean to me…its a lot’..fu***n a lot, I can’t even explain it.. It’s even more than money… sometimes I don’t even know how to col u, a wife, friend,sister,bedmate, partner.. Ooh God! I don’t know coz you are more than dat,”


“Siku zote umekuwa mwema, mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye mapenzi tele juu yangu…. You always should keep this in your mind “I LOVE YOU SO MUCH”… Happy birthday Darling.”ameandika Diamond
Kwa maneno haya, hakuna msichana anayeweza kujizuia kulia kama akiambiwa na mpenzi wake.

Baada ya kuona ujumbe huo ulioandikwa na Diamond kwenye Instagram, Penny amejibu:

“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I wont forget this…thank u hubby.”

1 comment:

  1. jamani shule ni nzuri ,,,,,,na inasaidia sana.huwaga nasoma mambo ya uyu mtu anaitwa platinum nashangaa sana najiuliza wema kasoma ilikuwaje akawa na uyu kijana?wema shukuru sana kuachana na diamond sio saizi yako pole pia kwa kupita pale.

    ReplyDelete

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...