Sunday, April 21, 2013

EXTRA BONGO KUTAMBULISHA WAPYA TANGA.

 
Bendi ya Extra Bongo inatarajia kutambulisha wasanii wapya hivi karibuni  ndani  ya April 30 itakuwa ndani ya Mamba Club Same , na siku ya Mei Mosi itakua katika   Ukumbi wa Tanga Hotel  ambapo   itamalizia Korogwe na kurudi Dar Ijumaa May 3  itahitimisha ndani ya Mango Garden Kinondoni jijini Dar  kwa kuwatambulisha wanamuziki wawili wapya kutoka kwenye bendi pinzani.



No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...