Wednesday, March 27, 2013

ALIYEMGONGA TRAFIKI ENEO LA BAMAGA AFIKISHWA MAHAKAMANI



Mtuhumiwa akiwasili mahakamani
 
Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar ss Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni.

Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu



Akiteta jambo na Issa Mnally ndani ya mahakama kabla ya hakimu kuwasili.


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...