Tuesday, February 12, 2013

HEMED AWAUWA WASANII WENZIE WA MOVIE NA MUZIKI..ASEMA HAKUNA ZAIDI YAKE


PHD


Hemed katika pozi

 
 Msanii wa filamu na muziki nchini tanzania Hemed Suleiman PHD amesema ana amini kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza handsome kuliko wote ndani ya bongo,akipiga stori  Hemed ameweka wazi kuwa anajiamini katika uchezaji anajiamini katika uzuri na anajiamini katika uvaaji pia



Usher Raymond wa Tz

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...