Friday, January 18, 2013

WADAU MNIPOKEE KWA UJIO WANGU MPYA. NAKUJA NA "KUNG'UTA NA YESU" NAOMBA MNIPOKEE......".ROSE MUHANDO'



Rose Muhando
Muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando hivi karibuni anatarajia kuachia albam yake mpya ," Sina mengi juu ya upendo mnaoonyesha katika kuniunga mkono kwa kazi zangu nafanya kwaajili ya utukufu wa Mungu. Sasa nimekuja na nyimbo zingine, ukiwepo wimbo unaoitwa "Kung'uta na Yesu" Ninaomba sana mniunge mkono watumishi wa Mungu. Siku ya kuwa sokoni albamu yangu hii mpya nitawajulisha kwa kupitia mitandao na vyombo vya habari. " Alisema Rose kupitia blog yake
 

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...