Tuesday, January 15, 2013

SIMBA SC WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN

Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh akizungumza na viongozi, makocha na wachezaji wa Simba walipomtembelea leo nchini Oman.
Nahodha wa Simba SC, Juma Kaseja akizungumza machache wakati timu yake ilipomtembelea balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh. Simba SC wapo nchini Oman kwa ajili ya kambi ya kujiwinda na Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na…
Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh akizungumza na viongozi, makocha na wachezaji wa Simba walipomtembelea leo nchini Oman.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...