Wednesday, January 30, 2013

MR BLUE ATOLEWA VYOMBO NJE


MSANII wa Muziki wa Kizazi  Kipya Bongo, Mr Blue anadaiwa kutupiwa vitu vyake vya ndani  leo mchana nyumbani  kwake Posta jijini Dar es Salaam anakoishi na mjomba wake,
Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa,Mr Blue a.k.a Kabaisa  ametolewa vyombo vyake vyote vya ndani  na watu wa Shirika la nyumba la Taifa, baada ya kujilimbikizia vyumba viwili kwa njia ya udanganyifu bila malipo yoyote. HABARI ZAIDI TUNAENDELEA KUZIFUATILIA  HIVYO ENDELEA KUWA NASI KARIBU. CHANZO G5CLICK
viwili kwa njia ya udanganyifu bila malipo yoyote. BU.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...