Tuesday, January 22, 2013

LULU KUOMBA DHAMANA MAHAKAMA KUU IJUMAA HII

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Januari 25 mwaka huu, itasikiliza ombi la kupatiwa dhamana ya msanii wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael  'Lulu' ambaye anakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia  kwenye mahakama hiyo  kesi yenye Na. 125/2012 mauaji ya  msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba.

Ombi hilo la dhamana ambalo tayari litasikilizwa na  Jaji Zainabu Mruke limewasilishwa mahakamani hapo na mawakili wake.


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...