Friday, January 11, 2013

Jengo la milioni 61 latelekezwa kwa miaka minne Shelui, Kisa…….!




Jengo la soko la mji mdogo wa Shelui wilaya ya Iramba mkoa wa Singida lililojengwa na kukamilika miaka minne iliyopita, hadi sasa halijaanza kutumika kwa kile kilichodaiwa ni kukosa choo.





No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...