Wednesday, December 12, 2012

DESEMBA 12/2012 DUH, INA MAMBO ETI TYSON AJIWEKA NYETI ZA KIKE!!!


BONDIA maarufu  duniani Mike Tyson adaiwa kujibadilisha jinsia  na kuwa mwanamke, habari ilizozipata  MATEJA20 leo tar. 12/12/2012 kutoka katika mitandao ya kijamii zinasema kwamba Tyson amechukua uamuzi wa kujibadili jinsia na kwamba mwenyewe anafurahia kufanikisha zoezi hilo, ila kwa mujibu wa mitandao hiyo habari zinasema kuwa furaha ya Tyson itazidi zaidi mara tu baada ya kuanza kupata siku zake za hedhi kama ilivyo kwa wanamke wengine, chanzo cha Habari kilizidi kutiririka kua baada ya mbabe huyo wa ndondi wa zamani kufanikisha zoezi lake hata tabia zake mbaya zimebadilika,kwasasa  sura yake imebadilika na kuwa na mvuto kama kwanamke.
Dah,ama kweli dunia imebadilika hata Tyson kufikia uamuzi huu!!!
Ee Mungu wanusuru Waafrika wenzetu wasije kuiga tabia hii chafu ambayo pia ni chukizo kwako.Kwa picha zaidi zinazomuonyesha muonekano wake wa sasa, endelea kufuatilia Mateja20 hivi karibuni mtaziona.

Moja ya picha za Tyson akiwa na familia yake.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...