Thursday, November 22, 2012

VODACOM FOUNDATION WAENDESHA KAMPENI YA KUPIMA AFYA - MOSHI‏


Dr. Yakubu Sanga (kushoto) akimhudumia msanii maarufu wa televisheni Bi. Kiroboto alipofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.
Dr. Nazeem Shabir (kushoto) akimpima Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

Dr. Erasto Sylvanus (kushoto) akimpima mtoto aliyefika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.
Sehemu ya madaktari wa Chama Cha Madaktari Tanzania - MAT wakiwahudumia wangonjwa waliofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.
Dr. Isack Maro Mtangazaji wa kipindi cha njia Panda na Afya Check vya Clouds FM na Clouds TV akibadilishana mawazo na madaktari wenzake mjini Moshi katika kambi ya afya iliyofanyika viwanja vya Hindu Mandal. Kambi hizi za afya zinazofanyika katika mikoa mbali mbali zinaendeshwa na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) na Mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...