Sunday, November 4, 2012

KAULI YA BOSS RUGE KUHUSU HALI YA RAY C


“Alishaanza hatua ya kwanza ya matibabu, anafanya bidii kwenda kwenye hatua ya pili
ya matibabu, kweli kabisa anafanya bidii na kuhusu taarifa kwamba amepelekwa Iringa
kupata matibabu ya kuacha utumiaji wa dawa za kulevya hakuna ukweli wowote,
kuna taarifa nyingi za kupotosha ambazo mimi nilikua naomba watu wangeacha
kuzisambaza kwa sababu hazisaidii mtu yeyote yule na vilevile zinaendelea kulikuza tatizo”

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...