Monday, October 22, 2012

WATUHUMIWA WA UCHOMAJI MAKANISA MBAGALA KIZIMBANI TENA


 
 Watuhumiwa wakielekea kizimbani mapema leo. 
 
Watuhumiwa wakielekea kizimbani mapema leo. WATUHUMIWA wa kuharibu na kuchoma 
moto makanisa huko Mbagala jijini Dar es Salaam, mapema leo wamefikishwa mbele ya Hakimu Binge Mashabala wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Watuhumiwa hao watano wamesomewa mashtaka matano na Wakili Mwandamizi wa Serikali, Tumaini Kweka, yanayowahusisha na njama za kutenda makosa, kuvunja majengo, uharibifu na wizi wa vifaa vya makanisa na kusabisha hasara ya milioni 550/=.
Washitakiwa hao, Shabani Hamisi, Issa Abdullah, Kambi Haji, Hamadi Mahambo na Wajabali Julius, walikana makosa hayo na kesi

 
 
 

Wakipandisha ngazi za jengo kuelekea chumba cha kesi.


Wakiwa ndani ya mahakama.

Ndugu na jamaa wa watuhumiwa wakielekea katika chumba cha kesi.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...