Tuesday, October 23, 2012

REDD'S ORIGINAL YATANGAZA ZAWADI KWA WASHINDI WA FAINALI YA MISS TZ 2012


Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza zawadi za Mshindi wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2012. Kulia ni Meneja wa Kinywaji cha Redds, Victoria Kimaro.
Meneja wa Kinywaji cha Redds, Victoria Kimaro akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza zawadi ya Mshindi wa Taji la Redd's Miss Tanzania 2012. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga.

Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa katika picha ya pamoja na Hashim Lundenga, Victoria Kimaro.


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...