PROFESSOR JAY FOUNDATION NA NISHIKE MKONO TOUR YA AANZA RASMI JANA KIBAHA
Baada ya kufahamu kwamba mtu mzima Prof Jay ameanzisha kitu ambacho kitakuwa kina elimisha jamii nzima kuanzia mama,baba na watoto akishirikiana na Nishike Mkono Tour leo walianza rasmi kutoa michango mbalimbali pia waliamua kuunda Team ili waweza kuchangia mfuko wa Elimu pamoja na Mfuko wa Afya. Professor Jay na Darasa
Wasanii mbalimbali waliojitokeza kuja kumpa company Professor Jay.
No comments:
Post a Comment