Monday, October 22, 2012

LORD EYEZ AMUIBIA OMMY DIMPOZ NAE AMUANIKA LIVE KWENYE TWITTER!!! YAANI NI NOUMER...!!!











Aibu kubwa imemkuta Lord Eyez aka aliyekuwa bwana wa Ray C hivyo anahitaji msaada haraka sana kabla hajakutwa na balaa kutoka kwa  raia wenye hasira kali maana ndo katabia kake nasikia ili kuweza kupata pesa yakununulia hiyo addiction yake ya madawa!! Gosh this is serious. Kadakwa live na picha ndo kama mnavyo ziona hapo juu. Alipoulizwa akasema vitu alivyo iba viko Chimbo Tandale na kumbe wiki iliyo pita tu alimuibia Kerry mfanyakazi wa clouds tv huku akishirikiana na mtoto wa kigogo mkubwa ambae wanavuta nae madawa.

Enzi zao wenyewe Ray C na Lord Eyez

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...