Saturday, September 15, 2012

HIVI NDIVYO ULIVYOJILI MPANGO MZIMA WA SERENGETI FIESTA DODOMA



MAPEMA jana mpango mzima wa Serengeti Fiesta 2012, ulianza kutikisa mjini Dodoma kwa  uongozi mzima wa Clouds Media Group, ulipoichukua timu zima ya wasanii wa Serengeti Fiesta kwenda kutembelea moja ya kituo cha watoto yatima kinachokwenda kwa jina la Kijiji cha Matumaini kilichopo mjini hapo.
Diamond, Ommy Dimpoz, John, Makini, Aunt Ezekiel, JB, Shetta, Juma Nature, Rich Mavoko, Dyana, AT, Sitamina, Ben Paul, Romy Jonsey, Muba na Mtangazaji wa XXL Adam Mchomvu walikuwa miongoni mwa wasanii waliofika mahari hapo na kutoa msaada sambamba na Mkuu wa Wilaya wa Dodoma Mh.  Lephy Benjamini Gembe.

Diamond (kulia), akiwa ndani ya gari na Romy Jonsy tayari kwa safari ya kwenda kutembelea kituo cha watoto yatima.

Ommy Dimpoz (wa kwaza kushoto), naye akiwa ndani ya gari hilo na meneja wake Mubenga aliye kaa katikati tayari kwa msafara huo.


Ben Paul akiwa ameketi na rafiki yake muda mfupi  baada ya kufika kwenye kituo hicho.


Adam Mchomvu akisikiliza jambo kwa makini ndani ya jengo la watoto yatima


Wasanii wa muziki wa kizazi kipya AT (kushoto), akifuatilia kwa makini na Dayna  pamoja Joh Makini.

 
Aunt Ezekiel (wa kwanza kulia mbele), akiwa mahari hapo na Juma Nature.

Rich Mavoko (wa kwanza kushoto), akiangalia kitu kwenye simu yake wakati wa kutoa misaada

Msimamizi wa zoezi hilo kutoka Clouds Media Group Simon Simalenga akiongea jambo muda mfupi kabla ya kukabidhi misaada hiyo mbele ya Mkuu wa Wilaya.


Mkuu wa Wialaya ya Dodoma mjini,Lephy Benjamini Gembe akiwakalibisha wasanii kwenye kituo hicho kabla ya zoezi la utoaji misaada kuanza.

Msanii wa filamu Bongo, JB (wa pili kutoka kulia), naye alikuwa makini kumsikiliza mkuu wa Wilaya.

Diamond akiwa amempakata  mmoja kati ya watoto wa kituo hicho.




















Hatimaye Simoni Simalenga, alikabodhi misaada hiyo kwa mkuu wa Wilaya, ambaye pia alikabidhi kwa Mkuu wa kituo cha Kijiji cha Matumaini Sister Maria Rosaria, aliyesimama katikati.




 
Diamond na JB, wakielekezana namna ya kufanikisha zoezi la kuwafotoa .....

 
Gari lililotumika kuwapeleka mahari hapo wasanii hao.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...