Tuesday, September 11, 2012

GUMZO LA JIJI; MAKAMUZI YA SKYLIGHT BENDI NDANI YA THAI VILAGE, DAR‏

Gumzo la Jiji; Vijana wa Skylight bendi wakirudisha katika kiota chao cha Thai Village mwishoni wikendi iliyopita. Bendi hiyo kwa sasa inatoa burudani kila Ijumaa Thai Village jijini Dar.


Sebene likiwa limenoga.



Wanadada wa Skylight bendi Mary na Anneth.



Wadau wakishow love.



Kila mmoja alikuwa na furaha.

Haki Ngowi akiwa na rafiki yake nao waliwakilisha.

Mkurugenzi wa Ndege Insurance na Skylight Entertainment Bw. Sebastian Ndege (kulia) akiwa pamoja na marafiki zake.

Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja.

Marafiki wakiselebuka.





Wadau kutoka Clouds Fm nao waliweza kuja kuiunga mkono.

Warembo wakiweka kumbu kumbu.

Aha! wadau wote.

Mwimbaji wa bendi ya Skylidht Sam Machozi akijiachia na mrembo.



Igizo jipya ndani ya Skylight bendi akitoa burudani.

Marafiki wakiwa katika nyuso za furaha.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...