Wednesday, September 26, 2012

EBSS YAZINDUA ACADEMY YA WASHIRIKI KAWE JIJINI DAR


 
Chief Judge Madam Ritha akiwakaribisha wageni waalikwa kwenye hafla hiyo ya kuzindua Academy ya washiriki wa EBSS.

 
Lucy Mgina akiwa na mshiriki wa EBSS Salma Sahin mshiriki kutoka Dar es Salaam wakiwa katika pozi kwenye ufunguzi wa Academy ya ya EBSS.

 
Mshiriki kutoka Dodoma, Godfrey Kato akitoa burudani safi kwa wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi huo.

Washiriki wakiwa wamekaa sehemu maalum ya kupumzikia pindi wanapokuwa wamemaliza majukumu yao katika Academy hiyo.

 
Wasanii H.Baba akiwa na mpenzi wake Frola Mvungi walikuwepo kutoa sapoti kwa vijana chipukizi wa EBSS

Sehemu ambayo washiriki watakuwa wakilala

 
Mshiriki mdogo zaidi Husan Nassor ‘Kidoti’ akitoa burudani kwa wageni waalikwa.



No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...