Tuesday, September 25, 2012

DIAMOND NA WACHUMBA 30...LINAH,RECHEL KIMIANI


 
Wanamuziki wa bongo flava wakiwa katika picha ya pamoja siku ambapo walikuwa mbeya katika show ya Fiesta mjini mbeya,Diamond akiwa amezishilia the nidoz of wasanii wenzake Lina(kulia) na upande wakulia(recho) ndo inasemekana msababisho huenda ukaangukia huko,kitu ambacho kimetafsiriwa Diamond ana pepo la ngono dhidi ya watu maarufu.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...