Wednesday, August 1, 2012

YALIYOJIRI BUNGENI LEO



Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akielekea ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aug,1,2012 kwaajili ya kusoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha,2012-2012

Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Asiye na Wizara Maalumu Prof, Mark Mwandosya akitoa shukurani Aug,1,2012 kwa Serikali na Wananchi waliomuombea wakati akiwa mgojwa hadi kupata nafuu na kuweza kuhudhuria tena katika vikao vya Bunge ,mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akijibu hoja mbalimbali Bungeni leo kuhusu wizara yake.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Kabwe Zitto (kulia) akitoa maelezo binafsi kwa waandishi wa habari Aug. 1,2012 kuhusu tuhuma za rushwa dhidi yake hususan kuelekea katika kupitisha bajeti ya Wizara ya Nishati. Pichani mwengine ni Prof. Koyela Kahigi (CHADEMA).
Habari/ Picha:  Mwanakombo Jumaa- MAELEZO,

1 comment:

  1. hamjielewi kama vipi fungeni hii blog habari za lini hizi? upuuuuuuuuzi mtup

    ReplyDelete

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...