Saturday, August 18, 2012

NAPE AFUTURISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI MOROGORO


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikaribishwa na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Six Mapunda na Kada wa CCM na Hassan Bantu (kulia) alipowasili kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Forest ambako aliandaa futari kwa ajili ya mabalozi wa nyumba kumi na baadhi ya viongozi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Morogoro jioni  ya jana Agosti 17, 2012.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana kwa furaha na mkuu wa mkoa wa zamani wa Morogoro steven Mashishanga baada ya kuwasili kwenye futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro. Waalikwa wakisali kabla ya kufuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro. Kina Baba wakifuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro. Mashishanga, Fikiri juma wa mjini,Nape na  Petro Kingu wakifuturu, futari iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro. Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapinda na Msaidizi wa Katibu NEC, Itikadi na Uenezi, Taifa, Okctavian wakifuturu, futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro. Babu akijisevia futari, wakati wa futru hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Mkuu wa mkoa Moro Joel Bendera akifuturu,futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Kina mama wakifuturu, futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Six akimkaribisha Nape jukwaani baada ya kufuturu, futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Nape akizungumza jukwaani, baada ya futari hiyo aliyoandaa kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Nape akizungumza jukwaani baada ya futari hiyo.
Sheik Khamis Ali Mbilikila akisoma dua baada ya futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Nape akishiriki kuomba dua baada ya futari. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro
Kina mama wakiomba dua
Kinababa wakiomba dua
Nape, Bendera na Kingu wakiwa wamesimama baada ya futari hiyo.
Nape akiwaaga waalikwa
Nape na mbunge wa zamani Simeindu Pawa wakisalimiana baada ya futari hiyo
Nape akiagana na mjumbe wa nyumba kumi Zuberi Fikirini baada ya futari. Mjumbe huyo ni mlemavu wa miguu

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...