Monday, August 6, 2012

NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA ROSE MIGIRO AKUTANA NA WABUNGE WANAWAKE DODOMA

 
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake Dkt Asha Rose Migiro akiwa kwenye picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda, Dkt Migiro yupo mjini Dodoma kwa mwaliko wa Spika wa Bunge. Ametumia fursa hiyo kukutana na wabunge wanawake na kuwaasa kufanya kazi kwa bidii ili kuharakisha maendeleo ya Tanzania. Ndipo Spika wa Bunge akamwandalia na kumkaribisha mgeni wake kwenye futari maalum katika cafeteria yaBunge.

Mdau Prosper Minja alipata fursa ya kukutana na hii nyota ya Afrika

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...