Wednesday, August 1, 2012

MGOMO WA WALIMU: WANAFUNZI WANASWA KWENYE DAMPO LA UCHAFU MORO


WAKATI mgomo wa walimu ukiendelea nchini kote, asubuhi ya leo wanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya Msingi Chamwino (B) walinaswa na mtandao huu wakicheza kwenye dampo la uchafu baada ya kukosa kazi za kufanya kufuatia walimu wao kugoma kuwafundisha.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...