Tuesday, August 14, 2012

ANGALIA DEMU WA MANDELA ALIVYO MCHARUKO


DEMU wa Mnenguaji wa Bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta International', Mandela hivikaribuni alionyesha ni jinsi gani alivyokuwa Mcharuko, baada ya kufanya matukio ya ajabu sehemu mbili tofauti na yote yakiashiria ni namnagani alivyokuwa hajatulia mbele ya jamii.

Baada ya kupata burudani walipozi kwa muda namna hii ingawa baadaye waliendelea kukamua kweupe
 
Mandela akiwa katika pozi na 'the Kiburudisho' wake
 
... akijaribu kutaka vitu furani hadharani
 
Mrembo huyo, akidandiwa dandiwa na mnenguaji mwingine aitwaye 'Super K,' ambaye kwa sasa anadaiwa kuhamia katika Bendi ya Mashujaa Musica.
 
Baada ya prukushani za hapo na pale aliamua kujiaachia mahari hapa bila uoga.
 
Mandela na mrembo wake, uzalendo uliwashinda tena na kuamua kuburudishana kweupe kabla ya kufika makwao.
 
Mambo yalinoga namna hii. 
Endelea kufuatilia Kamera ya TANZANIA ONE BLOG, itakuwa ikikuletea matukia ya aina hii kila siku.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...