Thursday, July 19, 2012

Wabunge, Kigoma All Stars na Tamasha la LekaDutigite wafunika!


 
Mheshimiwa David Kafulila na Mheshimiwa Joshua Nassary na wabunge wengine wakitgita katika Tamasha la LekaDutigite lake Tanganyika Mjini Kigoma jana jioni.

TAMASHA hilo lilitumbuizwa na kundi la wanamuziki ambao ama ni wazaliwa au wana nasaba na Mkoa wa Kigoma Kigoma All Stars ambao ni Diamond, Linex, Mwasiti, Baba Levo, Ommy Dimpoz, Queen Darleen, Recho, Peter Msechu, Banana, Ali Kiba, Maunda Zoro, Makomando na Chege . Picha zote na Mheshimiwa Zitto Kabwe.



Toka Shoto ni Halima Mdee, Mheshimiwa Zitto, Mh Esther Bulaya na Mh. Joshua Nassary wakigita



Mamia ya mashabiki wakifuatilia

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...