Sunday, July 22, 2012

NYUMBA ALIYOISHI RAIS OBAMA MIAKA YA 80, INAPANGISHWA.





.






Mtandao wa Global Grind umezitoa hizi picha na kusema kwamba ni za nyumba aliyowahi kupanga rais Barack Obama wa Marekani kwenye miaka ya 80 wakati akisoma Columbia University enzi hizo akiwa na wenzake na walikua wakilipa kodi ya USD 360 kwa mwezi ambayo sio chini ya laki tano za kitanzania, Nyumba hii yenye vyumba viwili vya kulala ipo Manhattan New York ambapo sasa inapangishwa kwa USD 2400 ambayo sio chini ya milioni tatu na laki tano za kitanzania.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...