Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisoma hotuba yake ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa
Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta
mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012. Katikati ni Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban
Simba.
:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiagana na Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba,
baada ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam
Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal (kulia) akijumuika kuomba dua iliyoombwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh
Issa Bin Shaaban Simba (katikati) baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua rasmi
semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA)
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na baadhi ya waumini na viongozi wa Jumuiya za Kiislamu wakati
akiondoka, baada ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la
Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15,
2012.
Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya za Kiislamu na waumini wa Dini hiyo,
waliohudhuria semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania
(BAKWATA) iliyofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012
No comments:
Post a Comment