Friday, July 20, 2012

DADA WA MZEE YUSUF, KHADIJA YUSUF APATA MME


DADA wa Mfalme wa miondoko ya muziki wa mwambao Bongo, Khadija Yusuf, hatimaye amejitwalia mme mpya baada ya kutumikia maisha ya ukapera kwa muda mrefu ambapo usiku wa kuamkia jana mrembo huyo ambaye pia anafanya poa kwenye tasnia hiyo ya muziki wa Taarab, alifunga pingu za maisha nyumbani kwa kaka yake Mzee Yusuf Magomeni jijini Dar es Salaam ambapo wadau kibao wa muziki huo walihidhulia kushuhudia tukio hilo la shangwe na matumaini kwa wawili hao.
TANZANIA ONE BLOG, INAWATAKIA KILA RAHERI KWENYE NDOA YENU NA MUNGU AWABARIKI MUISHI KWA RAHA DAIMA MILELE.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...