Friday, July 20, 2012

AIRTEL YATOA POLE KWA WAATHIRIKA WA AJALI YA MELI ZANZIBAR

waliofikwa matatizo ya kufiwa na kupoteza ndugu na mali zao kwenye ajali hiyo
Hii salam inanamba maalum 0689 099 444 ambapo ni msaada kwa mtu yeyote mwenye  shida ya kuuliza chochote au akitaka kutoa msaada wowote atawapigia au kuwasiliana wenzetu na REDCROSS ambao wako huko Zanzibar na wengine hapa Dar kutoa msaada wa  haraka kwa ndugu zetu waliothirika na maafa ya ajali ya boti .

Pia kuna akaunti maalum ya Airtel Money ambapo shortcode yake au (jina la fumbo) MAAFA iliyopo chini ya kitengo chetu cha huduma kwa jamii kwaajili ya wasamaria wema kuweza kuwachangia chochote ndugu zetu

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...