Monday, May 7, 2012

MASANJA MKANDAMIZAJI AANZISHA MAHUBIRI YA UWANJANI

Masanja akiongoza mamia ya watu katika kuwalisha neno la bwana jana katika viwanja vya T.A.G Mbagala jijini Dar es Salaam.
MSANII wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Makandamizaji’, jana jioni alinaswa na kamera yetu akihubiri Neno la Mungu katika viwanja vya kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Mbagala jijini Dar es Salaam.
Masanja akiwajibika jukwaani hapo.

Sehemu ya umati uliyokusanyika viwanjani hapo.








No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...