AHSANTE KIKWETI NA SERIKALI YA TANZANIA KWA KUMKUMBUKA STEVEN KANUMBA
Watanzania tumefurahishwa sana na kile serikali imefanya kwa kumkumbuka mwigizaji maarufu sana na aliyeitangaza nchi duniani akiwa na umri mdogo sana, Steven Kanumba.
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania
Mhe.Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kututhamini sisi wasanii wa Tanzania,
kwanini nasema hivi leo.., serikali yetu ya Tanzania imetoa milioni
kumi kwa famila ya marehemu Steven Kanumba kama rambirambi ya serikali
yetu. Familia ya Steven Kanumba (Jembe) na wasanii wote Bongo Movie
tunawashukuru sana.
Mh. Amos Makalla akisalimiana na Mama mzazi wa Steven Kanumba
.
Naibu Waziri wa Utamaduni na Michezo Mhe, Amos Makalla akiwasili nyumbani kwa marehemu Kanumba kwa ajili ya kutoa rambirambi
Mheshimiwa akiwa makini kufuatiliia ratiba zinazoendelea..
Mama wa marehemu (Mama Frola) akiwa na majonzi akisubiri kinachoendelea.
Mtitu Game mkurugenzi wa Game 1st Quality
Mh; Amos Makalla akiongea machache na vyombo vya habari .
Mama wa marehemu akiwa na Mh; Amos Makalla.
Mh; akiwa ameshika kiasi cha milioni kumi(mil 10) kwa ajili ya kukabidhi kwa familia ya marehemu kama rambi rambi ikimwakilisha Mh. Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake.
Kabla ya kukabidhiana mama aliongea machache na kutoa shukrani zake kwa serikali..
Makabidhiano yakafanyika.
Mama akipokea pesa hizo kwa majonzi makubwa
Mama wa marehemu akionyesha kiasi cha fedha alichokabidhiwa kwa niaba ya ndugu na jamaa waliokuwepo
Mama akisaini mkataba toka kwa mwanasheria wa Wizara habari utamaduni na michezo
Seth(Mdogo wa marehemu) naye pia alisaini kama shaidi.
Mh; akisaini.
JB
Mtitu na Mama wa marehemu.
Jack wolper
JB na Tino.
The Greatest nikiwa na mama tukiteta jambo.
The Greatest.
Mama Frola na The Greatest.
Dada wa marehemu(Bela ).
Jenifer Kyaka akiwa na Mama wa marehemu.
Jenifer Kiyaka na Mama Asha Baraka.
Steve Nyerere mkurugenzi wa kampuni mpya ya kisasa inayotambulika kwa jina la OS akiwa na Mh; Amos Makalla Baada ya matukio yote kuisha
No comments:
Post a Comment