WASHIRIKI WA CHEZA, IMBA, VAA KAMA RIHANNA WATEMBELEA OFISI ZA TIMES FM
Washiriki wakiwa ndani ya chumba cha kurushia matangazo cha Radio Times.
WAREMBO walio kwenye shindano la ‘Cheza, Vaa, kama Rihanna’, mapema leo wametembelea kituo cha Radio Times FM jijini Dar es Salaam na kupata fursa ya kufanya mahojiano na baadhi ya watangazaji wa kituo hicho ambapo waliongelea mwenendo mzima wa shindano hilo ulipofiki Habari/Picha: Musa Mateja/GPL.
Mmoja wa washiriki hao, Babro Beckham, akihojiwa.
Mmoja wa Ma DJ wa Times FM akisabaisha.
Mtangazaji wa kipindi cha ‘Kituo cha Kazi’, Mariam David akizungumza jambo katika mahojiano hayo.
Washiriki wakiingia ndani ya studio hizo.
Warembo wakiwa wameketikabla ya kukaribishwa chumba cha mahojiano.
Kiongozi wa msafara huo, Luqman Maloto, akizungumzia mchakato wa kuwapata washiriki hao ulivyokuwa.
Kiongozi wa washiriki hao, Hasheem Aziz, akielezea jinsi washiriki watakavyowapagawisha mashabiki siku ya fainali ya shindano hilo.
Muandaaji wa vipindi wa Times FM, Omari Tambwe ‘Lil Ommy’, akirekodi sauti za washiriki hao.
Luqman Maloto (kulia), akimtambulisha Mkuu wa Idara ya Matangazo wa Times, Hamy B, anayeshikana mkono na mmoja wa washiriki hao.
Lil Ommy, akiwa kwenye pozi na washiriki hao.

No comments:
Post a Comment