SINTAH: NIMESEMWA SANA SASA NATAFUTA MWANAUME WA KUZAA NAYE...
STAA wa Filamu na Maigizo Bongo, ambaye kwasasa anachapa mzingo Kwenye kipindi cha Hatua Tatu kinachorushwa hewani kupitia 100.5 Times FM, Sintah Manongi 'Sintah JLO Africa', juzikati alifyatuka kwakusema kuwa anahitaji bwana wa kuzaa naye maana amezidi kusema kila kona na ndugu na marafiki zake wa karibu.
Akigonga stori mbili tatu na Mateja20, Machi 27 mwaka huu Sintah alisema kuwa, amefikia kusema hivyo kwakua tayari umefikia wakati wake wa kuitwa mama maana siku zinazidi kwenda mbele na akisema asubiri ndoa ndiyo azae bado itazidi kumchukua muda mrefu kumpata atakayeendana naye kitabia kama ndoto zake zilivyo siku zote.

"Niko Sileas na hili na wala sitanii tena maana sasa nimezidi kukoseshwa raha na marafiki zangu kila mmoja ukiongea naye habari zinazohusiana na mtoto basi utasikia ananisema tena wakati huo anakuwa hatanii hata kidogo, sasa kuepusha maneno nitazaa pale tu nitakapopata mwanaume wa kuzaa naye, alisema Sintah a.k.a JLO Africa"
hilo niwazo la ki utu uzima,bt lazima useme unataka mwanaume wa aina gani,i belive hutafuti ilimradi mwanaume,wewe ni mzuri na u deserve the best.Kama unapenda mwanaume handsome na mtafute huyu hapa, pjohnman700@gmail.com lakini aniishi arusha,bt ni handsome wa ukweli ukimwona uta mwadmire.
ReplyDeletekazi kwako and all da best for the good.
Mimi naitwa sande nipo dar na nipo tayari naomba 2wasiliane kwa namba 0655999113 au email: inagabe75@gmail.comimi naitja mke wa kuowa ili 2je kujenga familiya ye2
ReplyDeletePoa nitakucheki
ReplyDelete