SHEREHE YA MIAKA 14 YA GLOBAL PUBLISHERS LTD FULL MARAHA!!!
High Table: Mgeni rasmi katika sherehe hiyo, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (wa pili kushoto) akibadilisha mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Global, Eric Shigongo (wa kwanza kushoto), wengine pichani kutoka kulia ni Sud Kivea, Makpngoro Oging' na Elvan Stambul wote wafanyakazi wa Global.
High Table: Mgeni rasmi katika sherehe hiyo, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (wa pili kushoto) akibadilisha mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Global, Eric Shigongo (wa kwanza kushoto), wengine pichani kutoka kulia ni Sud Kivea, Makpngoro Oging' na Elvan Stambul wote wafanyakazi wa Global.
KAMPUNI ya Global Publishers and General Enterprises Ltd, wachapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Championi, Ijumaa, Risasi, Amani na Ijumaa Wikienda jana ilisherehekea miaka 14 toka kuanzishwa ambapo mgeni rasmi katika sherehe hiyo iliyofanyika ndani ya Hoteli ya Atrium alikuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja. Bendi ya Twanga Pepeta ilikuwepo kutoa burudani kwa wafanyakazi pamoja na wageni waalikwa
- Burudani: Bendi ya Twanga Pepeta ikiongozwa na Luiza Mbutu kutoa burudani.
- Viuno: Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakionyesha ufundi wa kukata viuno.
- Salamu: Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally akisalimia meza kuu.
- Msosi: Wafanyakazi wa Global wakichukua msosi.
- Msosi kwanza: Mgeni rasmi, William Ngeleja akiongoza meza kuu kupata chakula.
- Shangwe: Wafanyakazi wa Global wakiburudika.
- Mambo ya Kwaito: Wafanyakazi na wageni waalikwa wakicheza Kwaito.
- Raha ya Kwaito kujua staili: Wafanyakazi wa Global wakilisakata Kwaito kwa ufasaha.
- Walu Boy: Walusanga Ndaki a.k.a 'Walu Boy' wa Global (kushoto) akisakata rhumba na Luiza Mbutu.
- Mkali Kuyu: Mhariri wa Gazeti la Risasi Mchanganyiko, Mohamed Kuyunga akionyesha ujuzi wa kuimba stejini.
- Wataalam wa kamera katika pozi: Wapiga picha wa Global kutoka kushoto; Musa Mateja, Issa Mnally, Richard Bukos na Shakoor Jongo wakiwa katika pozi.
No comments:
Post a Comment