Saturday, February 4, 2012


RAIS KIKWETE  KATIKA SIKU YA SHERIA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman baada ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuhtubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo kuzungumzia mchakato wa Katiba.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...