Saturday, February 11, 2012

KESHO HAPATOSHI DAR LIVE MBAGALA


Meneja wa Kundi la TMK Family, Said Fella akithibitisha kundi lake kutoa burudani katikia onesho hilo ndani ya Ukumbi wa Dar Live.

Mwana FA akielezea jinsi atakavyokamua

Ambwene Yessayah ‘AY’ akiumwagia sifa ukumbi wa Dar Live ambao baada ya kuuona aligundua kuwa una hadhi ya kimataifa.

Chegge akielezea jinsi atakavyofunika katika shoo hiyo 'bab kubwa'.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...