Thursday, February 2, 2012

GLORIOUS CELEBRATION LIVE BAND NDANI YA THE ATRIUMS HOTEL IJUMAA HII
Baada ya kuwa katika misafara mbalimbali ya kumtumikia Mungu, Ijumaa hii watakuwepo Sinza Afrikasana katika hotel ya The Atriums. Hakutakuwa na kiingilio..  Mambo yataanza saa 12jioni na kuendelea. Nyimbo mpya za band hii zitapigwa. Vichekesho kutoka kwa Paul Tonex wa GC, vitakuwepo. Karibu Sana

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...