Monday, January 23, 2012

BONGO MOVIES WAFUNGA WIKIEND KWA MBWEMBWE NEW MAISHA CLUB




Wanenguaji wa Offside Trick wakifanya vitu vyao ukumbini hapo.






USIKU wa kuamkia leo New Maisha Club, mastaa kibao ndani ya Bongo walifunikana kwa mavazi pamoja na burudani katika tamasha maalamu lililoandaliwa na kampuni ya Pilipili Entertainment kwa kushirikiana na ZIFF.

Mastaa wa filamu walitunikiwa tuzo za heshima kutoka katika kampuni hiyo na mwishoni burudani la kufa mtu liliangushwa kutoka kwa vijana wa kizanzibari, Offside Trick na AT.






AT akiwa mzigoni.



Vijana wa Offside Trick wakikamua pamoja na mnenguaji wao.



 Burudani sindiyo hizi sasa!



            Hapo chacha!
































No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...