Monday, June 10, 2013

MTOTO WA KITANZANIA ANAYETENGENEZA APLICATION ZA SIMU NA KUWAUZIA NOKIA



Mtoto Alvin akisalimiana na Rais wa
Tanzania Mh.Jakaya Kikwete


Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa Kitanzania

anayeishi na wazazi wake nchini Singapore.

Akiwa na umri wa miaka 14 na mwanafunzi wa

kidato cha pili huko Singapore, tayari

ameshatumbukiza jina lake katika orodha ya

wataalamu wa application katika moja ya makampuni

makubwa duniani ya kutengeneza simu za mkononi ya

NOKIA, ambapo anatengeneza

applications ambazo anazituma katika

kampuni hiyo ambayo nayo bila hiana huitumia. Hongera kwa Alvin na wazazi wake pia..

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...