Tuesday, April 16, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA MEJA GENERALI MAKAME RASHID LEO




Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akitoa mkono wa pole kwa ndugu wa Marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia juzi katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zilifanyika jana Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia juzi katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika jana Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia juzi katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zilifanyika jana Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davies Mwamunyange akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia juzi katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zilifanyika jana Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.

Ndugu wa Marehemu wakiwa ni wenye majonzi na huzuni kubwa ya kuondokewa na Mpendwa wao.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mkuu wa Majeshi Davis Mwamunyange.

Toka kushoto ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ),Luteni Jenerali,Samuel Ndomba,Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,IGP Said Mwema na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini,Kamishna Jenerali John Minja wakiwa kwenye msiba wa Marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.


Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.




Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki duniajuzi katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zilifanyika jana Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...