Wednesday, August 22, 2012

EXTRA BONGO WAJA NA MOTO MKALI MKUTOKA ULAYA,WAITEKA KIMARA SIKU KUU YA EID,MEEDA PAFURIKA EID PILI

Wacheza shoo wa kike wa Band ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho maalum la siku Kuu ya Eid pili katika Ukumbi wa Meeda jijini Dar es Salaam.
Mwimbaji na Kiongozi wa wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akiimba wakati wa onyesho hilo.
Mpiga Bass, Hoseah Mgoachi akilichalaza gitaa sambamba na wacheza shoo wakati wa onyesho hilo.
Wacheza shoo wa kike wa Band ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho maalum la siku Kuu ya Eid pili katika Ukumbi wa Meeda jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...