Monday, August 15, 2016

BASATA YATANGAZA KUMFUNGULIA NAY WA MITEGO


Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) imetangaza kumfungulia msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa kwa kuwa ametekeleza maagizo yote aliyopewa.
  


Katikati ni katibu wa BASATA, Godfrey Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na kulia mwenye miwani ni meneja wa Nay, Maneno John. 

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...