Saturday, April 11, 2015

HAMISA MABETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Mwanamitindo kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto (kushoto) akiwa na mimba kabla ya kujifungua kulia ni mtoto wake wa kike.
Hamisa Mobeto akiwa katika pozi.
MWANAMITINDO kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto amejifungua mtoto wa kike hivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti  na wafanyavyo mastaa wengine.
Mtandao huu tunampa hongera sana.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...