Friday, February 6, 2015

ANGALIA BALAA LA PROJECT MPYA YA WEMA SEPETU, OMMY DIMPOZ


Wema na Ommy Dimpoz wakiwa katika pozi

GUMZO na habari ya mjini leo ni juu ya kusambaa kwa picha zinazo onyesha wazi juu ya uhusiano wa Wema Sepetu na Ommy Dimpoz, mambo mengi yanasemwa na wadau wa wasanii hao lakini ukweli wa mambo kutoka kwa mastaa hao unaeleza kwamba wapo katika Project yao mpya.

Wema  Sepetu 'Beautiful Onyinye' (kushoto) akiwa akipozi na Ommy Dimpoz .
 

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...