Thursday, February 5, 2015

ALIYEKUWA MSEMAJI WA YANGA SC, ALAMBA SHAVU TFFAfisa Habari wa zamani wa timu ya Yanga SC. Baraka Kizuguto akiongea jambo mbele ya waandishi wa habari siku chache kabla ya kuachana na Klabu hiyo na kuramba shavu jipya TFF.

 

HATIMYE aliyewahi kuwa Afisa Habari wa timu ya Yanga SC, Baraka Kizuguto amebahatika kupata shavu la kuitumikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),  katika nafasi hiyo.
 Habari za uhakika kutoka ndani ya TFF, zimeeleza  kwamba Kizuguto amewapiga amepata nafasi hiyo baada ya kuwabwaga  wasemaji wenzake zaidi ya 10 waliokuwa wakiwania nafasi hiyo.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...