Thursday, January 10, 2013

MWANAMUZIKI OMAR OMAR ALIVYOZIKWA KATIKA MAZINGIRA YA VURUGU .

 
Baadhi ya wasanii wakibadilishana mawazo kabla ya mazishi.
 
Mazishi hayo ambayo yalihudhuriwa na watu wengi, yalitawaliwa na vurugu ambazo zilisababisha baadhi ya waombolezaji kuporwa vitu vyao kama simu, pesa, saa na vitu vingine.
Wakati wa kwenda kumzika, vijana waliojiita ‘kikosi kazi cha mazishi’ waling’ang’ania jeneza lililobeba mwili wa marehemu na kulipeleka wao makaburini huku baadhi yao wakifanya vitendo vya uporaji njiani wakati wa kwenda kumzika.
Waombolezaji akina mama.
 
Dully Syaks (katikati) akiwa na mapacha Sunche na Kapeto.
 
 Baadhi ya wanamuziki wa kizazi kipya.
 
Mlevi nmmoja akicheza mbele ya waombolezaji.
 
Mwili wa marehemu ukisaliwa nyumbani kabla ya kupelekwa makaburini.
 
Umati ukiwa tayari kwenda makaburini.
Vurugu zikiendelea wakati wa kwenda kuzika.
 
Vijana waliosababisha vurugu wakisukumana.
Wabeba jeneza wakiwa wanatembea kwa magoti. MWANAMUZIKI mkongwe wa miondoko ya mnanda, Omar Omar Mfungilo, ambaye alifariki usiku wa kuamkia juzi ( Jumatatu) nyumbani kwao Temeke-Mkoroshini amelizikwa jana katika makaburi ya karibu na nyumbani kwao.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...