Monday, July 16, 2012

MSHINDI WA SERENGETI FIESTA MC SHUJAA WALIVYOCHUANA - TANGA

Mmoja wa wwashiriki wa mpambano huo akiselebuka na shabiki wake
Mtangazaji Antu akisherekea siku yake ya kuzaliwa wakati wa mpambano
Mtangazaji wa Clouds FM akimkabidhi keki Antu katika siku hiyo
Antu Mandoza mwaandaji wa vipindi katika radio ya Clouds FM kulia akikata keki ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa. Kushoto ni mtangazaji wa Wikendi  Chart Show, Nickson
Aunt akiwa katika pozi wakati mpambano ukiendelea
Meneja vipindi Clouds Fm  sebastian Maganga Kushoto na Nickson wakiangalia mpambano Serengete  fiesta super nyota

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...