SAMATTA ATUPIA MAWILI TP MAZEMBE IKIUA 5-0
Mbwana Ally Samatta, jana katika Ligi Kuu ya Vodacom Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) aliifungia timu yake Tout Puissant Mazembe mabao mawili, ikishinda 5-0 dhidi ya Muungano FC. Mabao mengine ya TP Mazembe yalifungwa na Reinford Kalaba, Nathan Sinkala na Luka Lungu.
No comments:
Post a Comment